Zaidi ya watoto elfu-mbili kaunti ya Baringo wamepuuzwa

  • | KBC Video
    63 views

    Zaidi ya watoto elfu-2 katika kaunti ya Baringo, wameripotiwa kutelekezwa katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Idadi kubwa ya watoto hawa wana ulemavu, wakiwa wametelekezwa katika taasisi zisizo na ufadhili wa kutosha, ambapo wengi wao hamna matumaini. Baadhi ya wazazi hawajawahi kurejea tangu walipowapeleka shule watoto wao , Na kama mwanahabari wetu Ben Chumba anavyotujuza, wazazi Wengine hutoweka na kukata mahusiano kabisa na watoto hao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive