Rais Ruto awakosoa wapinzani wake, aahidi kutimiza ahadi zake za kabla ya uchaguzi

  • | KBC Video
    2,209 views

    Rais William Ruto amewashtumu wakosoaji wake wanaomkashifu kwa kutoa ahadi nyingi kupita kiasi wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais wa mwaka 2022. Rais amekariri kwamba anaazimia kutimiza ahadi zote za kabla ya uchaguzi na ana imani kwamba rekodi ya utenda kawi wake itabainika kabla ya kukamilika kwa kipindi chkhe kcha kwanza uongozini.alikariri kwamba ni sharti Kenya ikubali maamuzi ambayo huenda yakawa machungu ili kuimarisha maendeleo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive