Dhulma za Mwalimu Kaplong

  • | Citizen TV
    969 views

    Shule ya wasichana ya Kaplong imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuzua vurumai wakilalamikia kudhulumiwa kingono na mwalimu mmoja wa kiume.