Teresia Maina anayeugua saratani ya damu anahitaji msaada wa shilingi milioni 2.5

  • | KBC Video
    81 views

    Familia moja katika kijiji cha Gitambaya, katika eneo la Ruiru, inataka msaada wa kuchangisha shilingi milioni 2.5 ili kuokoa maisha ya mwanao wa kike anayeugua saratani ya damu. Teresia Maina, mwenye umri wa miaka 32, alianza kuugua ugonjwa huo baada ya kupokea matibabu ya chemo kutokana na saratani ya matiti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive