Mafuriko yaharibu barabara ya MawenI Mombasa

  • | Citizen TV
    148 views

    Wakazi wa maweni eneo bunge la Nyali kaunti ya Mombasa wanalalamikia Barabara duni inayoharibiwa zaidi na mafuriko yaliyoongea vidimbwi vya maji barabarani