Mamia ya wanawake Samburu hawapati huduma za uzazi

  • | Citizen TV
    25 views

    Mamia ya wakazi wa kaunti ya Samburu wanakabiliwa na changamoto za kupata huduma za afya licha ya juhudi za serikali za kuafikia afya kwa wote. Wanaopata huduma za afya ya uzazi ni chini ya asilimia arobaini ya wakazi wa kaunti hiyo. Wanawake hulazimika kutembea mwendo mrefu kutafuta huduma hizo muhimu