Bodi ya KEPHIS yapinga mabadiliko ya sheria ya mbegu

  • | Citizen TV
    47 views

    Bodi ya wakurugenzi ya huduma za ukaguzi wa afya ya mimea nchini (KEPHIS) imepinga mswada wa marekebisho ya sheria wa mbegu na aina za mimea, wa mwaka 2025. Mswada huo, ulio mbele ya seneti kwa sasa, unapendekeza kuanzishwa kwa mfumo sambamba na uliopo wa usajili wa mbegu kupitia shirika la kukadiria ubora wa bidhaa (KEBS)