Wakazi wa Makongeni Nairobi wasema hawajalipwa fidia

  • | Citizen TV
    44 views

    Mgogoro umeibuka katika mtaa wa Makongeni, Nairobi, huku wakazi wa muda mrefu wakilalamikia vitisho vya kufurushwa ili kupisha ujenzi wa nyumba za serikali