Omtatah: lazima sheria ibadilishwe ili mbuga isimamiwe na kaunti

  • | Citizen TV
    281 views

    Seneta wa Busia OKiya Omtatah ametofautia na ahadi ya Rais William Ruto kwa wakazi wa kaunti ya Kajiado kuwa serikali ya kitaifa itarejesha Mbuga ya Kitaifa ya Amboseli kwa serikali ya kaunti hiyo, akiitaja ahadi hiyo kama hewa