Idara ya jinsia Kilifi yaandaa mbio za kuhamasisha umma

  • | Citizen TV
    72 views

    Serikali ya kaunti ya kilifi kupitia idara ya jinsia inaendelea na mikakati ya kuhamasisha jamii kuhusu visa vya dhuluma za kijinsia pamoja na mauaji ya wanawake baada ya kuundwa kwa jopo la kuangazia visa hivyo