Morocco yaongoza Afrika kisoka, yahifadhi historia yake kwenye jumba la kumbukumbu la kandanda

  • | TV 47
    68 views

    Morocco Football Museum iko katika jiji la Sale.

    Ilifunguliwa rasmi mwezi Februari 2025.

    Wageni Hutembelea jumba hili Jumamosi na Jumapili.

    Inafunguliwa kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni.

    Jumba hili limegawanywa katika sehemu sita za maonyesho.

    Kuna sehemu ya muda inayoonesha historia ya kombe la dunia.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __