Maasai Mara Yaweka Rekodi ya Dunia kwa Uhamaji wa Wanyamapori

  • | K24 Video
    88 views

    Hifadhi ya maasai mara imefanya ya kushangaza tena — na safari hii, ni rasmi na kimataifa!.sehemu hii maarufu ya wanyamapori imeandikwa katika kitabu cha rekodi za dunia — world book of records kwa kuwa na uhamaji mkubwa zaidi wa wanyama pori duniani.Uhamaji huo unaohusisha maelfu ya nyumbu,swara na pundamilia unavuka mito na mabonde katika msimu maalum wa mwaka — na kuvutia watalii kutoka pembe zote za dunia.Wataalamu wasema hii ni fursa kubwa kwa kenya kuimarisha sekta ya utalii kimataifa