Mashtaka ya ugaidi dhidi ya Boniface Mwangi yafutwa Kenya
Idara ya Upelelezi wa makosa ya Jinai nchini Kenya imetupilia mbali mashtaka yanayohusiana ya ugaidi dhidi ya mwanaharakati Boniface Mwangi.
Mwangi sasa anakabiliwa na mashtaka ya kumiliki silaha bila kibali na kupatikana na sumu pamoja na vitoa machozi.
Kukamatwa kwake kumekosolewa, huku mashirika ya kutetea haki za binadamu yakikosoa kuwa ni kwa lengo la kukandamiza sauti za upinzani.
Tuhuma dhidi yake zinahusiana na maandamano ya Juni 25.
Wiki iliyopita watu 36 walifikishwa mahakamani kwa shtaka hilo la ugaidi baada ya kushiriki maandamano hayo. Je shtaka la kigaidi linamaanisha nini hasa na ni mtu aina gani anaweza kushtakiwa kwa hili?
Jiunge na @Hamida Abubakar saa tatu usiku kwenye Dira ya Dunia TV mubashara kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili.
#bbcswahili #kenya #diratv
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
21 Jul 2025
- A recent murder of a patient at KNH sparked concerns over security inside referral hospitals.
21 Jul 2025
- Motorists had earlier threatened to stage protests.
21 Jul 2025
- Duale also announced appointment of an interim CEO.
22 Jul 2025
- Roots party leader George Wajackoya has weighed in on the vocal human rights activist Boniface Mwangi’s case, asserting
22 Jul 2025
- In the remote, sun-scorched landscapes of northern Kenya, Marsabit County is emerging as a proud example of a region battling the harsh realities of climate change. Once flush with green pastures and abundant livestock, the area is now grappling with…
22 Jul 2025
- Since President William Ruto (UDA/Kenya Kwanza) and ODM leader Raila Odinga entered into a political pact to form a broad-based government on March 7, 2025, the country’s political landscape has undergone a dramatic transformation. This shift has been…
22 Jul 2025
- The body of former Karachuonyo MP Phoebe Asiyo will be airlifted from the US to Kenya on August 4, 2025, the family has disclosed as they finalise burial arrangements. According to a statement released by her son, Caesar Asiyo, an official at Victory…
22 Jul 2025
- Kalombotole is accused of killing two fellow patients, including 38-year-old Edward Maingi, who was bedridden at the time after suffering a stroke. A postmortem conducted at the Kenyatta Funeral Home confirmed that Maingi died from excessive bleeding…
22 Jul 2025
- Authorities in Kilifi County have raised fresh concerns over the possible resurgence of cult-related activities after police recovered the body of a man and rescued four frail individuals in Kwa Binzaro Village, barely 26km from the infamous Shakahola…
22 Jul 2025
- Ground shifting beneath Ruto, Raila feet in Western
22 Jul 2025
- Wave of unrest shakes schools as learners protest abuse, neglect
22 Jul 2025
- Mo Ibrahim cautions against Ruto's push for African credit rating agency
22 Jul 2025
- CAF gives nod to Kenya, Uganda and Tanzania after completing checks