- 895 views
Mkurugenzi wa mashitaka ya umma ametetea uamuzi wa kuwafungulia mashitaka ya ugaidi washukiwa waliokamatwa kwa kuteketeza na kupora mali ya umma wakati wa maandamano ya mwezi Juni na Julai. Afisi ya mkurugenzi mkuu wa mashitaka ya umma imesema mashitaka chini ya sheria ya kuzuia ugaidi, yanapaswa kueleweka kulingana na vigezo vya kisheria vilivyopo na masharti ya usalama wa kitaifa badala ya kuchukuliwa kuwa juhudi za kukandamiza semi za kisiasa, matamshi ambayo yaliungwa mkono na waziri wa usalama wa kitaifa, Kipchumba Murkomen.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Serikali yatetea uamuzi wa mashtaka ya ugaidi wakati wa maandamano
- - Duniani Leo ››
- 22 Jul 2025 - The Gen Z protests, which were sparked by last year's finance bill, have emerged as a powerful force for accountability and justice.
- 22 Jul 2025 - Myths regarding cleft lip and palate abound, not only in Africa, and they affect both patients and parents.
- 22 Jul 2025 - The blogger has wasted no time, unleashing a series of damning — though largely unverified — exposés.
- 22 Jul 2025 - The Court of Appeal has upheld Chepkwony’s conviction and 20-year prison sentence for murdering his wife
- 22 Jul 2025 - Development projects are being executed in a fragmented and uncoordinated manner due to deep-seated mistrust between leaders
- 22 Jul 2025 - Githunguri Member of Parliament (MP) Gathoni Wamuchomba has called for urgent and strategic efforts to tap into the
- 22 Jul 2025 - Kenya’s rising track and field stars dazzled at the 3rd edition of the Confederation of African Athletics (CAA) Championships in Nigeria, bagging an impressive 24 medals with Mercyline Nakhumicha winning a silver medal in the women’s Under-18 race walk…
- 22 Jul 2025 - Kenya Electricity Generating Company’s (KenGen) Ksh150 billion wind energy project in Loiyangalani Ward, Laisamis Constituency, has run into headwinds. A coalition of professionals from Marsabit County has raised concerns over exclusion and a lack of…
- 22 Jul 2025 - Nairobi County Environment Chief Officer Geoffrey Mosiria has come to the aid of a homeless Kenyan-Indian woman suffering
- 22 Jul 2025 - Multitalented musician Julliet Miriam Ayub, popularly known as Jovial, has shared harrowing first‑trimester experiences during her second pregnancy,