Boniface Mwangi afutiwa mashtaka ya ugaidi

  • | BBC Swahili
    524 views
    Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi, ameachiliwa huru na mahakama mapema leo baada ya kukanusha shtaka la kumiliki risasi bila kibali rasmi. Alitarajiwa kufunguliwa kesi ya ugaidi, ila ikafutwa.