Mwanamke Bomba |

  • | Citizen TV
    809 views

    Alianza kama mzaha katika kwa kutengeza redio kijijini. Ila hakufahamu katika ukubwa wake angekuwa fundi wa redio, televisheni na vifaa vya elektroniki. Tunamzungumzia agness leparsore chege, fundi wa vifaa vya elektroniki mjini Maralal katika kaunti ya Samburu. Agness, anajivunia kazi hiyo aliyotekeleza kwa zaidi ya miongo mitatu, na sasa amemfunza mumewe na kuifanya kuwa urithi wa familia.