Waziri wa Madini na Uchumi wa Bahari Hassan Joho aonya wanakandarasi

  • | TV 47
    36 views

    Waziri wa Madini na Uchumi wa Bahari Hassan Joho aonya wanakandarasi.

    Mwanakandarasi wa mradi wa NAMARET alaumiwa kwa kuzembea kazini.

    Joho amezindua mtambo wa kuzalisha mbegu za kamba na samaki.

    Mtambo huo ni wa kwanza Kenya katika eneo la Shimoni huko Kwale.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __