Watoto hupuuzwa nyumbani na shuleni; tusisubiri hadi mwisho ndio tuwape nafasi ya kusikizwa -Alfred

  • | TV 47
    15 views

    "Watoto kusikilizwa saa zingine hupuuzwa. Wazazi huwa na shughuli nyingi kiasi kwamba hawawasikilizi watoto wao, na hata mashuleni, tofauti iliyopo kati ya walimu na wanafunzi huonyesha ukosefu wa uhusiano wa karibu. Tusisubiri hadi dakika ya mwisho ndipo tuwape nafasi ya kusikizwa." -Alfred Weku, Mwanasaikolojia

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __