Murkomen: Mishahara ya polisi inaongezwa kwa awamu

  • | Citizen TV
    193 views

    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema mchakato wa kutekelezwa kwa Nyongeza ya mishahara ya asilimia 10 kwa maafisa wa polisi unaendelea kwa awamu. Akihudhuria kongamano la Jukwaa La Usalama mjini Kapsabet, katika kaunti ya Nandi, Murkomen amekiri kuwa wizi wa mifugo umesalia kuwa changamoto kuu kwenye bonde la Ufa huku bunduki takriban elfu kumi zikitumiwa na wezi wa mifugo kutekeleza uhalifu