Afisa wa polisi afungwa jela miaka 30 kwa kuua

  • | Citizen TV
    1,161 views

    Konstebo wa polisi Jackson Konga amehukumiwa kifungo cha miaka thelathini gerezani baada ya kupatikana na hatia ya mauwaji ya afisa mwenzake christopher kemei eneo la k9 ,Nakuru miaka miwili iliyopita