Msafara wa M-PESA sokoni waingia katika kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    245 views

    Msafara maarufu wa MPESA sokoni umetua rasmi kaunti ya Meru kwa ziara ya makutano, kianjai, laare na kisha baadaye Maua. Msafara huu unaoongozwa na watangazaji wa muuga fm na radio citizen vituo vinavyomilikwa na kampuni ya royal media ni wa kusherehekea mafanikio Ya huduma za MPESA nchini kwa miaka 18 sasa