Uchafuzi wa ziwa wahatarisha maisha ya viumbe wa majini

  • | Citizen TV
    20 views

    Utafiti umebaini kuwa uchafuzi wa maji ya Ziwa Viktoria umeongezeka kwa kiwango cha kutisha katika miji ya Kisumu, Mwanza, Kampala na Entebbe, hali inayotishia uhai wa viumbe wa majini na afya ya binadamu