Waziri Joho asema ujenzi wa kituo cha namaret umekawia

  • | Citizen TV
    1,294 views

    Waziri wa madini na uchumi wa bahari Hassan Joho ameelezea kutoridhishwa kwake na jinsi mradi wa ujenzi wa kituo cha utafiti na mafunzo ya uvuvi (NAMARET) unavyotekelezwa kwa mwendo wa kujikokota katika eneo la Shimoni hkaunti ya Kwale