Wakazi Nkama Kajiado kusini wapinga ujenzi wa bwawa la maji

  • | Citizen TV
    255 views

    Wakazi wa Kijiji cha Nkama huko Loitokitok kaunti ya Kajiado wamepiga mradi wa ujenzi wa bwawa katika mto Narumoru .Wakazi hao wanasema hawakuhusishwa huku mashamba yao yakitwaliwa bila ya kulipwa fidia