Wakandarasi walalamika hawakupewa kazi Makueni

  • | Citizen TV
    197 views

    Serikali ya kaunti ya Makueni imekana madai kuwa ushirikiano wa serikai hiyo na idara ya kitaifa ya huduma kwa vijana katika utekelezwaji wa miradi muhimu kama vile barabara inawanyima nafasi wanakandarasi wa kaunti hiyo