Serikali yatoa ksh. 120m za kufadhili vyuo vya ushirika

  • | Citizen TV
    181 views

    Katibu katika idara ya vyama vya ushirika, patrick kilemi amesema kuwa serikali imetoa shilingi milioni 120 kwa sekta hiyo kwa ajili ya kutekeleza mifumo ya kidijitali