Serikali ya Trans Nzoia yazindua makao makuu mapya

  • | Citizen TV
    2,310 views

    Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia iliandaa sherehe za aina yake kufungua ofisi mpya zitakazojumuisha idara zote muhimu, hatua inayolenga kuleta huduma karibu na mwananchi na kumpunguzia safari ndefu za kuzitafuta