Wafanyabiashara Nyeri waapa kulinda biashara zao dhidi ya maandamano

  • | Citizen TV
    1,245 views

    Wafanyabiashara mjini Nyeri sasa wameahidi kulinda biashara zao wakati wa maandamano wakisema watajiweka tayari kukabiliana na wahuni. Wafanyabiashara hawa waliokutana mjini Nyeri wakisema hawatashuhudia tena hasara ya biashara zao, baada ya biashara zisizopungua 20 kushambuliwa na wahuni wakati wa maandamano ya mwaka huu na mwaka jana.