Msafara wa miaka 18 ya M-PESA watua Meru kwa sherehe na zawadi

  • | Citizen TV
    291 views

    Msafara wa MPESA Sokoni umeingia Kaunti ya Meru kwa kishindo, huku maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini yakizidi kushika kasi. Kampuni ya Safaricom inaendeleza uhamasishaji kuhusu namna ya kutumia simu ya rununu kama chombo cha kujiimarisha kiuchumi. Msafara huu unaandaliwa kwa ushirikiano na kampuni ya Royal Media Services.