Wakazi wa Saimo Soi huko Baringo wapewa mbuzi aina ya Galla

  • | Citizen TV
    118 views

    Wakazi wa wadi ya Saimo Soi, Baringo Kaskazini, wamepokea mbuzi wa kiume 500 wa Galla kutoka kwa Mamlaka ya kudhibiti ukame NDMA ili kuongeza uzalishaji wa mifugo na ustahimilivu katika maeneo yenye ukosefu wa usalama