Wanawake wanaounda bidhaa za shanga watoa ksh. 4.6m kusaidia juhudi za kuhifadhi mazingira

  • | Citizen TV
    48 views

    Wanawake wanaotengeneza bidhaa za shanga katika kaunti za Laikipia, Isiolo, Samburu na Marsabit wametoa zaidi ya shilingi milioni 4.6 kusaidia juhudi za kuhifadhi mazingira katika hifadhi tisa za jamii