Gavana wa Kwale Achani asema sheria ya biashara itainua wazabuni

  • | Citizen TV
    90 views

    Gavana wa Kwale Fatuma Achani amesema kuwa sheria ya biashara ya kaunti inalenga kuinua wazabuni wa ndani, hususan wanawake na vijana wasiokuwa na mitaji mikubwa, kwa kuwapa mikopo kupitia hazina ya Biashara Revolving Fund ili waweze kutekeleza kandarasi wanazopewa