Baadhi ya viongozi wa Garissa wakosoa matamshi ya Gachagua

  • | Citizen TV
    169 views

    Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Garissa wamekashifu matamshi ya aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ya kugawanya wakenya kwa msingi ya kikabila wakisema hatua hiyo inaweza kuleta machafuko nchini