Utoaji wa vitambulisho Turkana

  • | Citizen TV
    107 views

    Kaunti ya Turkana itashirikiana na serikali ya kitaifa kuhakikisha inawapa wakazi wa kaunti hiyo vitambulisho ikilenga zaidi ya watu laki nne ambao hawana vitambulisho wengi wao wakiishi sehemu za mashinani