Utapiamlo unavyoua watoto wa Gaza

  • | BBC Swahili
    3,748 views
    Katika hospitali ya Rantisi, pia huko Gaza, kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto waliodhoofika kwa utapiamlo ambao wamelazwa. Akina mama hawana lishe ya kutosha kuweza kuwanyonyesha watoto wao, na wanasema kuna uhaba wa maziwa ya unga kwa ajili ya watoto. UNICEF ilisema mwezi Mei kuwa zaidi ya watoto 5,800 waligunduliwa kuwa na utapiamlo huko Gaza, wakiwemo zaidi ya 1,000 walio na utapiamlo mkali sana. #bbcswahili #gaza #utapiamlo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw