Murkomen ataka IPOA ikamilishe uchunguzi kuhusiana na mauaji wakati wa maandamano

  • | KBC Video
    8 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, ameiarifu halmashauri huru ya usimamizi wa polisi, IPOA ikamilishe uchunguzi wake kuhusiana na mauaji yanayodaiwa kutekelezwa na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya mwezi Juni na Julai kabla ya kutoa taarifa zinazoonekana kuwalaumu maafisa wa polisi kutokana nayo. Matamshi ya Murkomen yanajiri kufuatia taarifa ya halmashauri hiyo, ambapo ilisema kuwa maafisa wa polisi walitumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji, ambapo zaidi ya watu 64 walifariki. Mengi zaidi na mwanahabari wetu Giverson Maina

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive