Siasa I Wakazi wa Bungoma wahimizwa kumpigia kura Rais Ruto kwa muhula wa pili

  • | KBC Video
    24 views

    Viongozi wa muungano wa Kenya Kwanza wakiongozwa na naibu rais Prof Kithure Kindiki walipeleka mpango wa kuwapa wanawake uwezo katika eneo la Kanduyi, kaunti ya Bungoma ambako waliwahimiza wakazi wamuunge mkono rais William Ruto katika azma yake ya kipindi cha pili uongozini. Viongozi hao waliojumuisha spika wa bunge la taifa Moses Wetangula walizungumzia rekodi ya rais Ruto ya usambazaji sawa wa rasilmali na miradi inayoleta mabadiliko kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive