Kenya na Uchina zashirikiana kwa ukuaji wa utalii

  • | KBC Video
    16 views

    Kenya inaimarisha ushirikiano na jamhuri ya watu wa China kuimarisha uhifadhi wa mazingira na kustahimili athari za mabadiliko ya hali ya anga. Rais William Ruto, akipongeza uhusiano thabiti wa kidiplomasia baina aya China na Kenya alikariri kwamba nchi hii inaangazia maswala mawili makuu ambayo ni kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga na ukuaji wa sekta inayoshamiri wa utalii humu nchini. Shirika la utangazaji nchini, KBC, liliungana na kampuni ya habari ya China kuonyesha kimataifa matukio ya kupendeza ya uhamaji wa kila mwaka wa nyumbu katika hatua inayonuiwa kuwavutia wataali zaidi wa kimataifa kwneye mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Maasai Mara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive