Murkomen afichua kuwa maafisa kadhaa wa polisi wamefunguliwa mashtaka kwa kusaidia uhalifu Kerio

  • | NTV Video
    744 views

    Waziri Murkomen, bila kutoa idadi kamili, amefichua kuwa maafisa kadhaa wa polisi wamefunguliwa mashtaka kwa kusaidia shughuli za uhalifu katika bonde la Kerio ikiwemo kuuza risasi kwa majahili.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya