Ifahamu China: Sifa za China

  • | KBC Video
    10 views

    Utafiti wa mpya uliofanyika hivi karibuni unaonyesha kuwa China imejijengea sifa kubwa miongoni mwa Wakenya. Nchi hiyo ni mshirika anayepewa kipaumbele kiuchumi duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, huku ushawishi wa Marekani ukiendelea kupungua. Fadhili Mpungji mtangazaji wetu kutoka Beijing analeta maelezo zaidi.Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive