Ifahamu China: Makumbusho ya vita

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya mabalozi 200 na wawakilishi kutoka balozi 112 za kigeni nchini China, pamoja na maafisa kutoka mashirika 10 ya kimataifa, walitembelea maonesho maalum katika Jumba la makumbusho ya vita dhidi ya uvamizi japani, jijini Beijing. Maelezo Zaidi katika Makala kuhusu ifahamu China .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive