'Yanga wakiona kama naweza kusaidia katika hamasa hasa wiki ya wananchi? nitasaidia'

  • | BBC Swahili
    1,547 views
    Je Haji Manara ana misemo gani aliyowahi kuitoa katika kuhamasisha soka ambayo anajivunia zaidi? Je vitu gani anajutia? na mambo mengine mengi Mahojiano haya kwa urefu unayapata hapa hapa katika ukurasa wa BBCSwahili. Tafuta Haji Manara #bbcswahili #tanzania #nyotwaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw