Ajira za kidijitali zasisitizwa kama mbadala wa ajira za kawaida kwa vijana

  • | KBC Video
    41 views

    Vijana wamepewa changamoto kutafakari upya utegemezi wa ajira ambazo zimekuwepo na badala yake kuzingatia zile za kidijitali kama njia mojawapo ya kukabiliana na tatizo la ukosefu wa ajira humu nchini. Akihutubia makala ya 28 ya mahafali katika chuo kikuu cha Africa Nazarene, meneja mkurugenzi wa shirika la ndege la Kenya Airways Allan Kilavuka, aliwahimiza vijana hasa wanaofuzu kutoka vyuo vikuu kutosubiria kazi za kuajiriwa afisini pekee bali pia kupanua wigo ili kujipa kipato.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive