Maafisa Polisi Wafungwa Miaka 35 kwa Mauaji ya Mwanamume

  • | Citizen TV
    3,936 views

    Maafisa wawili wa polisi watasalia jela kwa miaka 35 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanamume mmoja miaka mitano iliyopita kwa kosa la kutovaa barakoa. Mahakama ya Rufaa ya Eldoret imewahukumu maafisa hao wawili wa kwa mauaji ya jina Dennis LUSAVA. Jaji Reuben Nyakundi amesema kuwa Emanuel Wafula na Godfrey Sirengo walimuuwa kinyama Lusava na kujaribu kuficha ushahidi kwa kuutupa mwili wake katika mto Nzoia