Watu maarufu walioachwa katika kinyang'anyiro cha Ubunge CCM 2025

  • | BBC Swahili
    43,021 views
    Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimetangaza majina ya uteuzi wa awali wa wanachama watakaoshiriki katika zoezi la kura za maoni kwa nafasi za ubunge na ujumbe wa Baraza la wawakilishi. Wakati baadhi ya sura kongwe zikitemwa, wanasiasa wapya na wale waliorejea kutoka upinzani wamepewa nafasi, hali inayoweza kubadili ramani ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Kwa mengi zaidi, jiunge na @martha_saranga saa tatu usiku katika Dira ya Dunia TV. Na pia usisahau kutembelea ukurasa wetu wa youtube wa bbcswahili ambapo unatupata mubashara. #bbcswahili #tanzania #chamachamapinduzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw