Msafara wa Mpesa waelekea Vihiga, Kakamega, Bungoma

  • | Citizen TV
    63 views

    Msafara wa Mpesa sokoni umebisha hodi kaunti za Magharibi. Huku uhondo huo ukitarajiwa Majengo, Mbale Lubao, kambi ya mwanza na hatimaye chwele na kamkuywa kaunti ya Bungoma