Familia moja kutoka Loitokitok inalilia haki mwana wao anazuiliwa katika hospitali ya Abyan

  • | Citizen TV
    178 views

    Familia moja kutoka Loitoktok, Kaunti ya Kajiado, inalilia haki na kutaka mwana wao anayezuiliwa katika Hospitali ya Abyan, Eastleigh kwa mwaka mmoja aachiliwe