Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Tanzania yataka mazungumzo na upinzani nchini humo

  • | Citizen TV
    1,039 views
    Duration: 2:19
    Rais Samia Suluhu wa Tanzania sasa ametaka mazungumzo na upinzani wa taifa hilo baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata na ghasia. Wito huu ukitoewa siku moja baada ya kukamatwa kwa katibu mkuu wa chama cha upinzani cha CHADEMA Amani Golugwa kwenye msako wa kuwatafuta washukiwa wa ghasia za baada ya uchaguzi.