10 Nov 2025 11:00 am | Citizen TV 257 views Duration: 1:49 Familia moja katika eneo la Serena kaunti ya Kilifi inalilia haki baada ya makaazi yao kuvunjwa na kisha wao kufurushwa.