Afisa mmoja wa polisi wa Akiba ameuwawa Laikipia

  • | Citizen TV
    456 views

    Afisa mmoja wa polisi wa Akiba ameuwawa huku wengine wanne wakijeruhiwa kwenye shambulizi katika eneo la Doldol huko Laikipia.